Kadhim Siddiqui

IQNA

Wiki ya Umoja wa Kiislamu
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa jijini Tehran amesisitiza umuhimu wa umoja wa Waislamu huku Waislamu wakiadhimisha 'Wiki ya Umoja wa Kiislamu' duniani kote.
Habari ID: 3477666   Tarehe ya kuchapishwa : 2023/09/29

Khatibu wa Sala ya Ijumaa Tehran
TEHRAN (IQNA)- Khatibu wa Sala ya Ijumaa mjini Tehran amesema leo masuala ya Iraq na Afghanistan ni muhimu kwa ulimwengu wa Kiislamu.
Habari ID: 3474545   Tarehe ya kuchapishwa : 2021/11/12